Pages

Monday, 29 February 2016

Marcus Rashford - Manchester United Wonder Kid - Best Goals and Skills

This is a video with Marcus Rashford's goals and skills . In this moment, Marcus Rashford played just 2 matches for Manchester United vs Arsenal and Midtjylland. The rest of the highlights are from U21 Man Utd team. Manchester United vs Arsenal 3 - 2 Michael Carrick & Marcus Rashford Post Match Interview ...

Samatta aibeba Genk

Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza Ulaya wakati timu yake Genk ikichapa Club Brugge kwa mabao 3-2 katika Ligi Kuu Ubelgiji. Samatta aliyeingia akitokea benchi katika dakika 77, alitumia dakika nne tu kupachika bao lake la kwanza na kuihakikishia timu yake pointi tatu muhimu kwenye Uwanja wake wa nyumbani wa Cristal Arena. Hicho ni kipigo cha kwanza kwa vinara wa Ligi Kuu Ubelgiji,...

Manchester City mabingwa wa Capital One

Manchester City wameshinda Kombe la Capital One baada ya kuwashinda Liverpool kwenye fainali kupitia mikwaju ya penalti. Willy Caballero ndiye aliyekuwa shujaa wa Manchester City, akiokoa mikwaju ya Lucas, Philippe Coutinho na Adam Lallana baada ya meneja Manuel Pellegrini kuwa na Imani naye na kumchezesha badala ya kipa nambari wani Joe Hart. Manchester City walianza kwa kujiweka kifua mbele uwanjani Wembley kupitia bao la Fernandinho...

Simba yamalizia hasira Singida Utd

Mshambuliaji wa Simba, Brian Majwega akikwepa mguu wa mchezaji wa Singida United, Ponzi Mgeni wakati wa mechi yao ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. SIMBA jana ilimaliza hasira za kufungwa na Yanga kwa Singida United baada ya kuichapa mabao 5-1 na kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la FA. Mechi hiyo ni ya kwanza kwa Simba tangu itoke kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa mtani wake Yanga...

Man United 3-2 Arsenal: Marcus Rashford's superb double hits Gunners' title hopes - 5 things we learned

Marcus Rashford celebretes scoring  second goal The 18-year-old scored twice and set up Ander Herrera's third in a phenomenal display, while Mesut Ozil's assist and goal can't save Gunners Marcus Rashford struck twice and set-up Ander Herrera's third to hand Manchester United a huge win against Arsenal. Rashford scored twice in three minutes to continue his remarkable week and reignite United's fading top-four hopes and harm the...

Friday, 26 February 2016

The Truth Of Lionel Messi : Full Documentary

...

Kombe la Ligi UK: Kolo Toure amuonya Yaya

Kolo Toure Yaya Toure Kolo Toure atakabiliana na nduguye Yaya Toure wakati ambapo Liverpool itakutana na Manchester City katika fainali ya kombe la Ligi ya Uingereza siku ya jumapili katika uwanja wa Wembley. Lakini beki huyo wa Liverpool anasema kuwa atatumia kila njia kuhakikisha kuwa nduguye hapati bao. ''Ananijua mie kwamba naweza kutumia kila njia kumzuia asifunge bao'',alisema Kolo Toure ambaye ni ndugu mkubwa wa Yaya Toure. BBC...

Yanga yatangaza raha

WAWAKILISHI wa Tanzania Bara katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, leo wataikabili Cercle de Joachim ya Mauritius ukiwa ni mchezo wa marudiano hatua ya awali. Katika mchezo wa kwanza ugenini Uwanja wa George V, Yanga ilishinda bao 1-0, matokeo ambayo yanawapa Yanga kazi nyepesi leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutinga hatua inayofuata kwani inahitaji angalau sare. Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van der Pluijm, amejitapa...

Ox-lade Chamberlain hatacheza mpira kwa wiki kadhaa kutokana na kuumia goti

Kiungo machachari wa klabu ya Arsenal Alex Oxlade Chamberlain hatocheza kwa wiki kadhaa kutokana na jeraha la goti alilolipata jumanne wakati wa mechi ya  vilabu bingwa Ulaya. Akiongea na wanahabari Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema, Chamberlain alipata jeraha walipokabiliana na Javier Mascherano . Jeraha lake ni baya na litamuweka nje kwa wiki kadhaa,''alisema Wenger. Chambaerlain mwenye umri wa miaka 22...

FIFA election: Gianni Infantino voted new president

UEFA general secretary replaces banned Sepp Blatter at the helm of football's world governing body. Gianni Infantino has been elected as the new president of FIFA, succeeding the banned Sepp Blatter on a term until 2019. Infantino, the UEFA general secretary, received 115 votes in Friday's second round of voting, more than the required majority of 104 votes from the 207 members. The other favourite, Sheikh Salman Bin Ebrahim Al Khalifa...

Wednesday, 17 February 2016

Makocha watambiana

ZIKIWA zimesalia siku tatu kabla ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga, makocha wa timu hizo wameonesha kuogopana huku kila mmoja akidai kuheshimu kikosi cha mwenziwe. Yanga imejichimbia Pemba na Simba imejichimbia Morogoro kwa maandalizi ya mechi hiyo ya Jumamosi. Akizungumza na gezeti hili jana, kocha wa Yanga Hans van Pluijm alisema anafahamu ugumu wa mechi, lakini yeye anaendelea na programu yake ya kusaka ushindi kama kawaida. “Mimi...

Chelsea wapigwa bao 2 ugenini

 Zlatana Ibrahimovic na Edison Cavan  (pichani juu) wakishangilia ushindi baada ya kuifungia timu yao bao la kwanza na la pili Klabu ya Paris St-Germain ya Ufaransa jana ilijipatia ushindi dhidi ya Chelsea  katika mechi ya moja ya mzunguko wa  Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya . Siku ya jana ilikuwa mbaya kwa Chelsea  na hadi mwisho wa mchezo waliishia kuchezea kichapo cha  mabao 2-1 . Paris St-Germain...

Jonesia kuamua Simba na Yanga

MWAMUZI Jonesia Rukiyaa wa mkoani Kagera, amepewa jukumu la kuchezesha mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga, katika mchezo wao unaotarajiwa kuchezwa  Jumamosi hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mwamuzi huyo mwenye beji ya Fifa, anaingia uwanjani kuzichezesha timu hizo kwa mara ya pili baada ya kuzihukumu katika mechi ya Nani Mtani Jembe 2014 ambao Simba iliibuka na ushindi wa bao 2-0. Katika mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na...

Monday, 15 February 2016

The big debate: who will finish higher in the Premier League - Arsenal or Tottenham?

Both north London sides secured hugely important wins at the weekend and remain level on points, but which side has the edge? Sunday saw both sides from north London stake their claims to the Premier League crown. Arsenal came from behind to beat table-topping Leicester thanks to a 95th-minute Danny Welbeck winner , while Tottenham weathered a late wobble to see off Manchester City 2-1 at the Etihad. The two sides - separated only...

African Lyon yarejea Ligi Kuu Bara

TIMU ya soka ya African Sports imerejea katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara licha ya kutoka sare ya bao 1-1 na Ashanti United, katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL) uliochezwa jana katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Matokeo hayo yameiwezesha timu hiyo kuongoza katika kundi A kutokana na pointi 29 walizojikusanyia huku Ashanti wakishika nafasi ya pili kwa kufikisha pointi 24. Katika mchezo huo, African Lyon walikuwa wa...

Man United to appoint Jose Mourinho before end of season? Transfer news and gossip from Monday's papers

PLUS: Manchester City given boost in Paul Pogba chase AND David Moyes reveals how United missed out on the signing of Cesc Fabregas Waiting in the wings: Jose Mourinho has been tipped to replace Louis van Gaal The January transfer window only closed two weeks ago but you should know by now that the rumour mill is a 12-month gig. With Premier League clubs set to be flushed with billions of pounds in the summer, its no surprise to see...