Pages

Saturday, 30 January 2016

Arsenal 2-1 Burnley: Alexis Sanchez helps Gunners into FA Cup fifth round – 5 things we learned

Calum Chambers and Sam Vokes traded first-half goals before the Chilean settled the tie with a cool finish Arsenal booked their place in the FA Cup fifth round with a 2-1 win over Burnley. Alexis Sanchez was the matchwinner for the Gunners, netting a second-half winner on his first start since returning from injury. That was after Calum Chambers and Sam Vokes had exchanged goals in an intriguing first half in north London. There...

Simba yatakata TAIFA huku Yanga ikifungwa MKWAKWANI

Simba leo imezidi kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4 - 0 dhidi ya African Sports uwanja wa Taifa Dar es salaam, huku Yanga ikilala kwa mabao 2 - 0 mbele ya Coastal Union uwanja wa Mkwakwani Tanga.  Ushindi wa Simba ulipokelewa kwa furaha kubwa na mashabiki wa timu hiyo na umeifanya iendeleze rekodi nzuri ya ushindi katika mechi zake tatu mfululizo sasa. Wiki za hivi karibuni Simba ilimuondoa kocha...

Man United waishinda Derby katika FA

Manchester United wamempunguzia shinikizo meneja wao Louis van Gaal kwa kulaza klabu ya Derby 3-1 katika raundi ya nne ya Kombe la FA. Van Gaal alipuuzilia mbali habari kwamba alikuwa radhi kujiuzulu baada ya klabu yake kushindwa na Southampton Jumamosi, na timu yake ilicheza vyema dhidi ya klabu hiyo ya ligi ya Championship. Wayne Rooney alifunga kwa kombora alilolitoa akiwa hatua 20 kutoka kwa goli na kuwaweka United mbele dakika ya...

Samatta atambulishwa rasmi Genk Ubelgiji

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ametambulishwa kama mchezaji mpya wa klabu ya Genk ya Ubelgiji. Samatta amejiunga na klabu hiyo inayocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji kutoka kwa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Samatta, aliyetawazwa mchezaji bora wa mwaka Afrika 2015 kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani, ametia saini mkataba wa hadi mwisho wa msimu wa 2019/2020. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa...

Sunday, 24 January 2016

Arsenal 0-1 Chelsea: Diego Costa makes Per Mertesacker pay for early dismissal by scoring winner five minutes after red card

Arsenal centre back Per Mertesacker was sent off in the 18th minute after bringing down Chelsea's Diego Costa Mertesacker could have no complaints as he brought down Costa while the Chelsea man was running at goal Costa piled further misery on Arsenal by poking a delightful Branislav Ivanovic cross past goalkeeper Petr Cech Home defeat means Premier League title hopefuls Arsenal are three points behind leaders Leicester Chelsea striker Diego...

Lionel Messi Greatest Skills & Tricks

Best skills ever performed by the legendary leo messi ...

Man United yalazwa,Liverpool yanusurika

Mchezaji wa ziada Charlie Austin alifunga dakika saba baada ya kuingia na kuijeruhi Manchester United. Manchester United na meneja wao Louis Van Gaal walizomwa na mashabiki baada ya timu hiyo kushindwa kufanya mashambulizi yoyote katika dakika 90. Wakati huohuo Adam Lallana alifunga bao la dakika za lala salama na kuiwezesha Liverpool kuishinda Norwich City 5-4 katika mechi iliojaa mashambulizi msimu huu. Robert Firmino aliiweka...

Marseille yajitosa kumtaka Samatta

Dar es Salaam. Wakati timu za Nantes na RCK Genk zikiendelea  kupigana vikumbo kwa ajili ya kuinasa saini ya mshambuliaji, Mbwana Samatta, klabu ya Olympique de Marseille nayo imejitosa kumuwania mshambuliaji huyo. Kwa mujibu wa gazeti la L’Equipe la Ufaransa, Marseille imetajwa kuwa na tatizo kubwa kwenye safu yake ya ushambuliaji na inaamini ikimpata Samatta aliyefunga mabao 19 katika mechi 35 msimu uliopita, atakuwa tiba ya tatizo...

Mourinho hakutuma ombi la kazi Man Utd

Ripoti inayodai kuwa aliyekuwa meneja wa Chelsea,Jose Mourinho aliiandika Manchester United barua yenye kurasa sita akielezea upungufu wa kocha wa Man United Louis van Gaal imetajwa kuwa "ajabu kabisa", anasema wakala wake, Jorge Mendes. Jarida la Independent la Jumapili pia limedai Mourinho aliwasilisha "uchambuzi wa kisayansi" wa kikosi kizima cha Old Trafford katika kile kinachoitwa " barua ya upendo" kwa klabu hiyo. United walizomewa...

Mayanja aula mfupa uliomshinda Kerr

Dar es Salaam . Kocha wa Simba, Jackson Mayanja ameamua kucheza kamali iliyomshinda mtangulizi wake Dylan Kerr kwa kuamua kuwapa nafasi wachezaji Rafael Kiongera na Hassan Isihaka katika kikosi chake cha kwanza. Kauli ya Mayanja imekuja wakati mashabiki wa klabu hiyo wakilalamikia kiwango cha Kiongera aliyerudishwa kwenye usajili wa dirisha dogo kuwa ni cha chini na hapaswi kupewa nafasi. Isihaka amekuwa akilaumiwa kwa kushuka kiwango...

I wouldn't sign for Chelsea right now - and nor would any top player, says Thierry Henry

Sticking the boot in: Henry doesn't believe Chelsea will attract top talent this month The Blues are unlikely to qualify for next season's Champions League and it is not yet known who will manage the club when Guus Hiddink leaves in the summer Thierry Henry believes Chelsea will fail to attract ANY top players this month due to the club's uncertain future. The Blues are currently 14th in the Premier League, 17 points off the top four,...

Niyonzima rasmi Yanga

Sakata la Niyonzima kufukuzwa Yanga limechukua mwezi mmoja kabla ya wiki iliyopita kumalizana na kiungo huyo kuomba radhi ili aweze kurejeshwa kikosini. Yanga ilitangaza kuvunja mkataba na Niyonzima kwa madai kwamba kwa kipindi kirefu mchezaji huyo amekuwa akifanya mambo na kuonyesha tabia ambazo si za kimichezo, gandamizi na ambazo zinaiathiri timu. Ilidaiwa Niyonzima amekuwa akirudia mambo hayo, licha ya klabu kumuonya mara kadhaa...

Sunday, 17 January 2016

Stoke 0-0 Arsenal: Aaron Ramsey jeered as Gunners return to the top of the table - 5 things we learned

The Gunners struggled to create chances without star man Mesut Ozil, who was injured, and had to settle for a point Arsenal came through their title test at the Brit to return to the top of the Premier League. The Britannia has been Arsenal's bogey ground and they still have only won once here in nine visits. But Arsene Wenger's men showed character to earn a point on an ice-cold evening in the Potteries and were denied all three by...

Arsenal legend Thierry Henry reveals the two players he believes can guide the Gunners to the title

 Duo: Ozil and Giroud are key to Arsenal's title charge, says Henry Arsene Wenger's side will return to the summit of the Premier League with either a draw or a victory at Stoke this afternoon Thierry Henry has backed Arsenal duo Olivier Giroud and Mesut Ozil to deliver the title for the Gunners this season. A draw or a victory at Stoke this afternoon would return Arsene Wenger's side to the Premier League's summit, and Henry has...

Samatta azawadiwa na serikali ya Tanzania

Mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa nyumbani Mbwana Samatta amekabidhiwa sehemu ya ardhi na serikali ya Tanzania kufuatia uhodari wake uliomwezesha kuondoka na tuzo hiyo na kuisaidia TP Mazembe kutwaa kombe la vilabu bingwa Afrika. Mchezaji huyo pia alitunukiwa zawadi nyinginezo kwenye hafla iliyoandaliwa ili kusherekea mafanikio yake katika soka yaliyoiweka Tanzania katika ramani ya soka. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na wadau wa...

Liverpool 0-1 Man United: Wayne Rooney scores with visitors' only shot on target - 5 things we learned

Jurgen Klopp's side looked the likelier to score at Anfield, but the Man United skipper saves the day for Louis van Gaal Wayne Rooney struck with Man United's only shot on target to claim three points at Liverpool - and save Louis van Gaal's bacon. The Red Devils skipper scored his first goal at Anfield for 11 years to secure the win despite another disappointing display. Tempers flared early on when Lucas reacted to a Marouane Fellaini...