Pages

Saturday, 16 April 2016

Didier Drogba akaribisha uchunguzi


Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba, amekaribisha uchunguzi ufanywe juu ya taasisi yake dhidi ya kile kilichoitwa "wasiwasi mkubwa juu ya udhibiti".

Gazeti la Uingeza limedai kuwa kiasi cha paundi 14,115 nje ya paundi 1.7 ilizochangiwa taasisi ya Didier Drogba kama hisani ndizo zilizosaidia Barani Afrika.

Tume ya taasisi hiyo imefungua kesi kufanya mapitio ya wasiwasi huo dhidi ya utawala la taasisi hiyo,lakini Drogda mwenye umri wa miaka 38 amesema hana mashaka, kwani kila kitu kiko sawa na pesa hizo zinaweza kutumika pale itakabidi kutumika .

Katika makala iliyoandikwa kwenye gazeti hilo linaeleza kuwa paundi 439,321 zilitumika katika sherehe za anasa za kifahari kutafuta fedha ambazo zilihudhuriwa na watu maarufu,na zaidi ya paundi milioni moja zimezuiliwa katika akaunti ya benki.

BBC Swahili

Related Posts:

  • 9 things Johan Cruyff did before any other footballer The legendary Dutchman - who has passed away aged 68 - was not just an awesome footballer. He was an innovative one too Johan Cruyff was not just an Ajax, Barcelona and Holland legend. He was a football legend. As … Read More
  • Manchester City mabingwa wa Capital One Manchester City wameshinda Kombe la Capital One baada ya kuwashinda Liverpool kwenye fainali kupitia mikwaju ya penalti. Willy Caballero ndiye aliyekuwa shujaa wa Manchester City, akiokoa mikwaju ya Lucas, Phil… Read More
  • Marcus Rashford - Manchester United Wonder Kid - Best Goals and Skills This is a video with Marcus Rashford's goals and skills . In this moment, Marcus Rashford played just 2 matches for Manchester United vs Arsenal and Midtjylland. The rest of the highlights are from U21 Man Utd team. … Read More
  • Chelsea waitumbukiza Norwich hatarini Norwich wamejipata eneo la hatari Ligi ya Premia baada ya kushindwa na Chelsea wakiwa kwao nyumbani Carrow Road. Norwich walilazwa 2-1 kwenye mechi hiyo iliyochezwa Jumanne jioni, huku Chelsea wakiendelea kupanda kwe… Read More
  • Samatta aibeba Genk Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza Ulaya wakati timu yake Genk ikichapa Club Brugge kwa mabao 3-2 katika Ligi Kuu Ubelgiji. Samatta aliyeingia akitoke… Read More

0 comments:

Post a Comment

Want to comment? write down here