Pages

Friday, 3 June 2016

Granit Xhaka - Welcome To Arsenal

...

Arsenal already have a plan to replace Arsene Wenger reveals Ivan Gazidis

Arsenal chief executive Ivan Gazidis has revealed the club already have a plan in place to replace Arsene Wenger. The 66-year-old Frenchman has been in charge of the Gunners since 1996 and while he has no immediate plans to walk away from the club, Arsenal have already devised a succession plan. Gazidis said the Gunners have a clear idea of how they will replace Wenger when he comes to leave the club, although he refused to reveal specific...

Manji aivimbia TFF na Baraza la Michezo

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Yanga anayemaliza muda wake, Yusuf Manji, amegomea mchakato wa awali wa uchaguzi ulioandaliwa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Akizungumza jana kabla ya kuchukua fomu, alisema hawezi kwenda kuchukua fomu za uchaguzi TFF aliodai wanataka kumhujumu. Akizungumza klabuni hapo, Manji alifichua hujuma mbalimbali zilizokuwa zikipangwa kumhujumu katika mchakato wa uchaguzi...

Fifa dismiss report of Gianni Infantino probe

Fifa denied on Friday reports in German media that president Gianni Infantino was under investigation for a possible ethics violation. Fifa president Italian Gianni Infantino speaks during the second day of the 66th Fifa Congress at the Centro Banamex in Mexico City on May 13, 2016. Senegalese UN diplomat Fatma Samoura was named Fifa's new secretary general on Friday. PHOTO | ALFREDO ESTRELLA |  AFP GENEVA Fifa denied on Friday...

Tanzania yashuka nafasi saba viwango FIFA

TANZANIA imeshuka nafasi 7 katika viwango vya soka vinavyotolewa kila mwezi na Shirikisho la soka Duniani ‘FIFA’ huku Argentina ikiendelea kuongoza. Mei mwaka huu Tanzania ilipanda hadi nafasi ya 129 kabla ya kuporomoka hadi nafasi ya 136, huku  Kenya ikishuka nafasi 13 kutoka nafasi ya 102 hadi 129 wakati Uganda ikibaki nafasi ya 72 katika viwango hivyo. Orodha hiyo iliyotolewa jana na FIFA, ilionesha kuwa Uganda inaongoza ukanda...